
Ijumaa ya January 20 Fareed Kubanda aka Fid Q ameamua kuiwekea alama kwa kuachia video mpya ambayo ameipa jina la Kemosabe ambayo audio yake ilitoka August 13 ambayo ni kumbukumbu yake ya siku ya kuzaliwa.
Ukishaitazama video yenyewe sio mbaya ukibakisha na comment yako ili Fid Q akipita baadae ajue watu wake wameipokeaje……
0 maoni:
0758057161